Msafara wa safaricom umeingia siku yake ya tatu eneo la Bonde la Ufa

  • | Citizen TV
    139 views

    Msafara wa “Safaricom sambaza furaha” kwa ushirikino wa kampuni ya Safaricom na Royal Media umeingia siku yake ya tatu katika eneo la bonde la ufa. Msafara huo ulianzia Kericho, Chepseon na utatamatika katika eneo la Londiani.