Msafara wa Safaricom unaendelea maeneo ya Mlima Kenya juma hili

  • | Citizen TV
    188 views

    Msafara wa sambaza furaha na Safaricom unaendelea katika maeneo ya Othaya, Mukuruweini, Karatina, Gatitu na Giakanja , kaunti ya Nyeri. Kampuni ya Safaricom inasherehekea miaka 24 tangu kuanza kutoa huduma zake humu nchini. Wakazi wa maeneo ambako msafara huo unapitia wanajishindia zawadi kemkem.