Msaidizi wa rais Faruk Kibet ametoa mabasi kwa shule katika kaunti za Nandi na Uasin Gishu

  • | Citizen TV
    2,588 views

    Imekuwa afueni kwa wanafunzi wa shule mbili za upili katika kaunti za Uasin Goshu na Nandi baada ya klupokea msaada wa mabasi. Mabasi hayo yakitolewa kusaidia shughuli za masomo, kwa hisani ya msaidia wa Rais William Ruto Faruk Kibet.