- 17,012 viewsDuration: 2:25Msajili wa Vyama vya Kisiasa amethibitisha kuondolewa kwa Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna, kama Katibu Mkuu wa chama cha ODM. Katika barua kutoka kwa Msajili wa Vyama vya Kisiasa, John Lorionokou, imeelezwa kuwa Sifuna hakuwasilisha utetezi wake kama inavyotakiwa na Sheria ya Vyama vya Kisiasa. Ofisi ya Msajili sasa inasema uamuzi wa ODM wa kumuondoa Sifuna ulifuata taratibu zote za kisheria. Stephen Letoo ana taarifa zaidi.