Msajili wa vyama vya kisiasa asimama kidete kuhusu kuondolewa kwa katibu mkuu wa Jubilee

  • | KBC Video
    54 views

    Msajili wa vyama vya kisiasa Ann Nderitu amepuzilia mbali madai kwamba anaingiza siasa kama mpatanishi kwenye mzozo ulio katika chama cha Jubilee. Nderitu akidhibitisha kufutilia mbali kwa usajili wa Jeremiah Kioni kama katibu mkuu wa chama hicho na wa naibu wake David Murathe amesema ofisi yake inasubiri uamuzi wa mwisho wa mahakama Kufuatia maagizo ya mahakama yaliyozuia kuondolewa kwao ofisini.Haya yanajiri huku Jeremiah Kioni akiishutumu seriklai kwa kupanga njama ya kusambaratisha chama hicho akitishia kuitisha maandamano ya kulinda uhuru wa chama hicho.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #jubileeparty #darubini