Msako dhidi ya pombe haramu waendelezwa nchini

  • | Citizen TV
    1,061 views

    Msako wa pombe haramu na dawa za kulevya umeendelea kote nchini huku zaidi ya baa 2,300 zikifungwa. Waziri wa usalama kithure kindiki pia akisema kuwa, zaidi ya lita elfu 13 zimenaswa tangu juma lililopita.