Msako mpya dhidi ya wanawake kuhusu hijabu ya lazima Iran

  • | BBC Swahili
    1,243 views
    Huku mvutano ukiongezeka Mashariki ya Kati, kati ya Israel na Iran, utawala wa kidini pia unawakandamiza wanawake ndani ya Iran. Kumekuwa na uwepo mpya wa polisi wa maadili wanaokamata wanawake mitaani huku video zikithibitishwa BBC #bbcswahili #syria #wanawake