Msanii Anna Mwalagho ni kati ya Wakenya walio na ujumbe kwelekea uchaguzi mkuu Jumanne

  • | VOA Swahili
    141 views
    VOA Swahili imekuwa ikikusanya maoni na ujumbe kutoka kwa Wakenya mbalimbali, wakiwemo wanaoishi nchini Marekani, kuhusiana na uchaguzi mkuu nchini Kenya, utakaofanyika Jumanne wiki ijayo. Leo tuwasikilize wasanii wawili, akiwemo mkazi wa mji wa Bowie, jimbo la Maryland, Anna Mwalagho. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.