Msanii Kenya atumia kipaji cha sanaa kuokoa mazingira kutokana na uchafuzi wa plastiki

  • | VOA Swahili
    30 views
    Kijana Kenya atumia sanaa yake kutafuta suluhisho la uchafuzi wa mazingira, huku akiwafikia vijana mashuleni kuhamasisha utunzaji wa mazingira kwa kutumia plastiki zinazotupwa ovyo kwa ajili ya kutengeneza vivutio mbalimbali. #msanii #sanaa #uchafuzimazingira #wanafunzi #mashuleni #alliancefrancaise #voa #dunianileo - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.