Mseto kuhusiana na mfumo wa tatu wa ugavi wa fedha za Kaunti

  • | TV 47
    Hisia mseto zinaenedelea kuibuka kuhusiana na mfumo wa tatu wa ugavi wa fedha za kaunti mfumo ambao iwapo utapitishwa kaunti 19 zitapoteza fedha kwa kiwango kikubwa. #UpeoWaTV47