mseto wa Biashara humu nchini

  • | KBC Video
    Wakulima wa miwa wametoa wito kwa serikali iwe ikishauriana na viwanda vya sukari kabla ya kuruhusu sukari isiyotozwa ushuru kuagizwa kutoka mataifa wanachama wa shirika la COMESA. Wakiongozwa na katibu mkuu wa chama cha wakuza miwa humu nchini Richard Ogendo, wakulima hao wanadai kuwa mpango wa kuagiza tani elfu 57 za sukari kutoka mataifa wanachama wa COMESA ifikapo mwishoni mwa mwezi ujao utasababisha urundikaji wa sukari katika soko la humu nchini na kuathiri wakulima wa miwa. Taarifa kamili ni katika mseto wa Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive