Mseto wa Biashara

  • | KBC Video
    Tukio la kila mwaka la kuhama kwa nyumbu katika hifadhi ya wanyama pori ya Maasai Mara,linakabiliwa na tisho linalotokana na shughuli za binadamu katika maeneo ambayo nyumbu hao hupitia .Wenyeji wanaweka ua kwenye ardhi ambapo nyumbu hao hupitia katika juhudi za kupunguza mzozo kati ya mifugo na wanyama pori.Hayo na mengine yanajiri kwenye mseto wetu wa habari za biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive