Mseto wa Biashara

  • | KBC Video
    15 views

    Halmashhauri ya uwekezaji imo kwenye harakati za kubuni kituo maksusi kitakachokuwa na cha afisi za taasisi zote za serikali kuwa kiunganishi cha shughuli za uwekezaji humu nchini. Halmashauri hiyo imesema miongoji mwa hatua zinazoangaziwa ni kushughulikia suala la urasimu ambao limeathiri juhudi za uwekezaji humu nchini. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive