Mseto Wa Biashara: Kenya yaanzisha kituo cha kushirikisha uwekezaji

  • | KBC Video
    15 views

    Kenya imeanzisha kituo kimoja cha kushirikisha uwekezaji ambacho kitatoa taarifa za biashara, huduma za mawasiliano na kufanikisha uhusiano wa kibiashara. Waziri wa biashara na uwekezaji Rebecca Miano amesema kituo hicho kwa jina “Karibu Biashara” kinalenga kutatua changamoto zinazokabili wenye biashara na pia kuhakikisha ushirikiano wa karibu na taasisi za serikali kuhusu biashara na uwekezaji. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News