Mseto wa Biashara: Wadau katika sekta ya hoteli wana matumaini ya kufufuka kwa sekta hiyo

  • | KBC Video
    Wadau katika sekta ya hoteli wana matumaini ya kufufuka kwa sekta hiyo kupitia mikutano, vishawishi na maonyesho ya kitalii kwani hii ndiyo njia mbadala ya kuifufua sekta hiyo baada ya idadi ya watalii wa kigeni kupungua kutokana na janga la Covid-19. Matumaini hayo yanatokana na ongezeko la maombi ya kutengewa nafasi za kuandaa mikutano kutoka kwa kampuni za humu nchini na za kanda mwaka huu. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa biashara Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive