Mshahara wa madaktari wanafunzi

  • | Citizen TV
    2,987 views

    Maswali kuhusu mshahara wa madaktari wanafunzi ni mojawapo ya maswala yaliyoibua mvutano mkubwa kati ya serikali na madaktari wanaogoma. Serikali imekuwa ikishikilia kuwa kamwe haiwezi kuwalipa madaktari hao mshahara wa shilingi laki mbili kila mwezi na kuwataka kuchukua mshahara wa shilingi elfu sabini unaopendekezwa. Hata hivyo, mapendekezo haya yameibua maswali kuhusu kiwango na msimamo wa madaktari....Lakini je, kazi ya daktari wanafunzi ni ipi?