Mshauri wa Rais awataka viongozi kuungana

  • | Citizen TV
    2,427 views

    Mshauri wa rais kuhusu masuala ya uchumi Moses Kuria amewataka viongozi kuungana ili kufanikisha maendeleo. Kuria amewataka viongozi kuweka kando tofauti za kibinafsi na kisiasa ili kuwafanyia kazi wananchi. akizungumza huko Embu, Kuria amewataka Wakenya kuipa serikali nafasi ya kutimiza majukumu yake.