Mshindi wa Shabiki Jackpot Mbao ametumia pesa hizo kufanya maendeo kijijini kwao, Kiptororo- Kuresoi

  • | Citizen TV
    1,662 views

    Mshindi wa shilingi milioni tano kwenye shindano la Shabiki Jackpot Mbao mwaka jana David Tanui amepeleka maendeleo katika kijiji chake cha Kiptororo eneo bunge la Kuresoi Kaskazini. Tayari ametumia shilingi laki mbili kujenga jiko katika kanisa la Mount Zion Seventh eneo hilo huku tayari akiwa amenunua kipande cha ardhi na kuanza ujenzi ili kupanua biashara yake ya mbao.