Mshindi wa shindano la uandishi wa insha na composition la N.I.E atuzwa shilingi 50,000 za karo

  • | NTV Video
    116 views

    Fainali kuu ya Shindano la Uandishi wa Insha NA COMPOSITION iliyoandaliwa na SHIRIKA LA Nation Media Group (NMG) ilifanyika Jumanne, huku washindi 252 wa kanda 7 kutoka kote nchini wakikusanyika katika miji saba, ikiwa ni pamoja na Nyeri, Kisumu, Kakamega, Eldoret, Kitui, Mombasa, na Nairobi. Kando na zawadi ya kila mwezi Za SHILINGI 4,000 kwa kila mwanafunzi, mwalimu, na mshindi wa shule, shindano hilo pia lililenga kuchagua wanafunzi 12 bora ambao kila mmoja atapata ShILINGI 50,000 ZA KARO. TAARIFA IMEANDALIWA NA ASHLEY ATIENO NA KUTIWA SAUTI NA LOFTY MATAMBO

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya