Mshindi wa tuzo 8 za Grammy Usher kuongoza onyesho la half-time la Apple Music Superbowl Las Vegas

  • | VOA Swahili
    140 views
    Mshindi wa tuzo nane za Grammy Usher ataongoza onyesho la half-time la Apple Music Superbowl huko Las Vegas. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kamili na kile ambacho nyota huyo aliyejipatia umaarufu mkubwa kwa album yake ya Confessions anasema nini kuhusu matarajio yake katika onyesho hilo. Endelea kusikiliza... #grammy #tuzo #applemusic #superbowl #lasvegas #nyota #nfl #rocknation - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.