Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, Denis Mukwege kugombea urais DRC

  • | VOA Swahili
    650 views
    - - - - - Denis Mukwege wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, daktari wa upasuaji wa magonjwa ya wanawake na mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, ametangaza kugombea urais katika uchaguzi kuu utakaofanyika Desemba.