Mshukiwa John Matara akanusha madai ya kumuua Starlet Wahu

  • | Citizen TV
    1,330 views

    Mshukiwa wa mauaji John Matara ameshatakiwa na shtaka moja la mauaji .Hii ni baada ya uchunguzi kumalizika.