Mshukiwa Kalombotole ahitaji matibabu na chakula

  • | Citizen TV
    146 views

    Mawakili wa mshukiwa wa maujai ya mgonjwa hospitalini kenyatta Kalombotole wanamtaka arejeshwe katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta na wala sio katika kituo cha polisi cha kilimani