Skip to main content
Skip to main content

Mshukiwa mkuu kuhusiana na kusafirisha Wakenya Urusi azuiliwa hadi Ijumaa

  • | Citizen TV
    4,318 views
    Duration: 2:33
    Mshukiwa mkuu kwenye sakata ya kuwasafirisha wakenya kwenda kupigana nchini Urusi atazuiliwa hadi ijumaa wiki ijayo ambapo ombi la kuachiliwa kwa dhamana litasikizwa. Huku Festus Omwamba akisalia korokoroni, familia zaidi zinaendelea kuililia serikali kuwarejesha jamaa zao au miili yao nchini.