- 760 views
kwa taarifa zinazotufikia sasa kutoka mahakama ya siaya ni kwamba:victor okoth ouma, mshukiwa mkuu wa mauaji ya willis ayieko ataendelea kuzuiliwa kwa siku 21 katika kituo cha polisi cha railway kaunti ya kisumu huku uchunguzi ukiendelea. hakimu jacob mkalla wa mahakama ya siaya aidha amemtaka okoth kufanyiwa uchunguzi wa akili. kufikia sasa kuna washukiwa wawili wa mauaji ya ayieko aliyekuwa mfanyakazi wa kampuni ya wells fargo. polisi wanasema bastola yake ayieko imepatikana na mmoja wa washukiwa. kulingana na polisi victor ouma okoth alionekana kwenye kanda za cctv eneo ambako gari lake ayieko lilipatikana.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Mshukiwa mkuu wa mauaji wa Willis Ayeiko ataendelea kuzuiliwa katika kituo cha polisi kwa siku 21
- - 🔴 TV47 LIVE ››
- - Duniani Leo ››
- 12 Aug 2025 - Poverty, neglect, and shifting norms are driving early sex and marriage, as Kenya grapples with a sexuality education gap.
- 12 Aug 2025 - The Senate’s attempt to extend its oversight beyond its constitutional mandate raises concerns.
- 12 Aug 2025 - KICD says learners who want to pursue Core Mathematics must have met or exceeded expectations throughout their primary and junior school assessments.
- 12 Aug 2025 - How Jose Mourinho influenced McCarthy in defensive artistry
- 12 Aug 2025 - Hustler Fund, e-Citizen: Stop denials and embrace honest conversations
- 12 Aug 2025 - Ruto puts banks to task over constant high lending rates
- 12 Aug 2025 - Unbowed Lagat returns despite murder probe
- 12 Aug 2025 - Inside school walls: The hidden reality of forced pregnancy tests, searches
- 12 Aug 2025 - Nairobi Hospital suspends price hikes after insurers' outcry
- 12 Aug 2025 - DAP-K convenes crisis talks as Wamalwa, Natembeya rift widens