Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Albert Ojwang kusalia korokoroni

  • | KBC Video
    37 views

    KIFO CHA OJWANG

    Konstebo wa polisi James Mukhwana ataendelea kuzuiliwa kwa siku 21, huku uchunguzi kuhusu kifo cha mwanablogu Albert Omondi Ojwang ukiendelea. Akitoa uamuzi huo, hakimu Robinson Ondieki aliridhia ombi la kuendelea kuzuiliwa kwa Mukhwana, kwa kuzingatia kuwa suala hilo ni lenye umuhimu mkubwa kwa umma. Hakimu huyo pia alitoa wito kwa bunge kutunga kwa haraka sheria za kukabiliana na maafisa potovu wa polisi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive