Mshukiwa mmoja azuiliwa na polisi baada ya kukiri kuwauwa watu nne Nakuru

  • | Citizen TV
    1,971 views

    Maafisa wa polisi kaunti ya Nakuru wanamzuilia mshukiwa mmoja kwa tuhuma za kukiri kuhusika na mauwaji ya watu wanne. Ezekiel Sakwa anayezuiliwa na polisi mjini humo kufuatia mauwaji ya watu wanne akiwemo mtoto wa miaka minne.maiti za waathiriwa zilipatikana sehemu tofauti mjini humo.