Mshukiwa Savali kikemu alifariki Korokoroni Makuyuni

  • | Citizen TV
    2,128 views

    Mwili wa Inspekta Walter Nyankieya nyamato aliyeaga dunia Jijini Washington DC Marekani unafanyiwa uchunguzi nchini humo ili kubaini chanzo cha kifo chake. Matokeo ya uchunguzi huo yatakabidhiwa ubalozi wa Kenya nchini Marekani kabla ya mwili wake kusafirishwa nchini kwa mazishi