20 Feb 2026 1:26 pm | Citizen TV 2,276 views Duration: 2:08 Mshukiwa mmoja sugu wa ulanguzi wa bangi amejisalimisha katika kituo cha polisi cha Bisil, Kaunti ya Kajiado, kufuatia oparesheni kali iliyotekelezwa na wananchi kwa kushirikiano na wazee wa nyumba eneo hilo.