- 427 viewsDuration: 3:19Mshukiwa wa mauwaji ya Shakahola aliyekiri makosa aliieleza mahakama ya Mombasa jana, jinsi alivyouza shamba lake Nairobi na kujipata msituni Shakahola. Enos Amanya alifichuwa kwamba kulikuwa na zaidi ya watu 900 msituni na mfungo ulianza baada ya wazee wa baya mwaro kuwataka waondoke msituni. Na kama anavyoarifu francis mtalaki amanya ambaye kesi yake inaendelea leo, alishindwa kujizuia alipokuwa akieleza mahakama jinsi watoto wake walivyofariki akitoa ushahidi kortini jana .