Skip to main content
Skip to main content

Mshukiwa wa kuuza nyama ya mifugo wa wizi asakwa Nyeri

  • | Citizen TV
    425 views
    Duration: 1:10
    Polisi mjini Nyeri wanamsaka Mfanyabiashara anayedaiwa kuwachinja na kuwauza Ng’ombe na Mbuzi wa Kuibwa, baada ya vipande vya nyama kupatikana nyumbani kwake eneo la Mathari. Kwenye operesheni inayoendeshwa kuwasaka wezi wa mifugo, polisi waliisema kuwa Wanyama hao huchinjwa na kuuziwa wakazi kiholela bila ya kupimwa, na hivyo kuwaweka kwenye hatari ya kupata magonjwa.