26 Feb 2026 1:07 pm | Citizen TV 2,869 views Duration: 37s Mshukiwa wa kuwapeleka vijana kujiunga na jeshi la Urusi amekamatwa na kushtakiwa. Mtuhumiwa Festus Omwamba amefikishwa kwenye mahakama ya kibra na kufunguliwa mashtaka kadhaa