Mshukiwa wa mauaji Kevin Kang'ethe aliyetoroka akamatwa mjini Ngong

  • | Citizen TV
    11,073 views

    Polisi wamemkamata tena mshukiwa wa mauaji Kevin Kang'ethe mjini Ngong kaunti ya Kajiado siku chache baada ya kutoroka kutoka kituo cha polisi cha Muthaiga hapa jijini Nairobi.