Mshukiwa wa mauaji ya Catherine Nyokabi azua kihoja akitaka mahakama kuharakisha kesi yake

  • | Citizen TV
    Mshukiwa wa mauaji ya Catherine Nyokabi, Evans Karani, atasalia korokoroni kwa muda wa siku 14 baada ya mahakama kukubali ombi la upande wa mashtaka wa kuendelea kumzuilia. Haya yanajiri huku uchunguzi wa maiti ukionyesha kuwa nyokabi alifariki baada ya kunyongwa na kupigwa na kifaa butu kichwani.