Mshukiwa wa mauaji ya Eastleigh Hashim Dagane amefikishwa mahakama ya Makadara

  • | Citizen TV
    3,933 views

    Mshukiwa wa mauwaji ya wanawake watatu mtaani Eastleigh Hashim Dagane amefikishwa mahakamani hii leo baada ya kukamatwa hapo jana mtaani Kamukunji