Mshukiwa wa mauaji ya mwanamke Pipeline akamatwa

  • | Citizen TV
    5,049 views

    Maafisa wa polisi jijini Nairobi katika kituo cha Embakasi wanachunguza mauaji ya mwanamke mmoja anayedaiwa kuuawa na mumewe katika moja wapo wa njia katili