Mshukiwa wa mauaji ya Ong'ondo Were, Philip Aroko akosa kuwasilishwa mahakamani

  • | Citizen TV
    1,367 views

    Kizaazaa kimeshuhudiwa katika mahakama ya uwanja wa ndege wa JKIA baada ya mshukiwa wa mauaji ya Ong'ondo Were, Philip Aroko kukosa kuwasilishw amahakamani.