Skip to main content
Skip to main content

Mshukiwa wa mauaji ya Silas Abung'ana akamatwa

  • | NTV Video
    2,146 views
    Duration: 1:05
    Maafisa wa polisi wa Shinyalu katika kituo cha Shisasari wamemkamata mshukiwa mkuu wa mauaji ya mchezaji wa Kakamega Homeboys mwendazake Silas Abung'ana ambaye alikuwa ametoroka baada ya kutekeleza mauaji hayo. #NTVWikendi @mwakafridah @loftymatambo Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya