Mshukiwa wa ugaidi aachiliwa kwa dhamana ya Ksh.1M

  • | Citizen TV
    1,770 views

    Mshukiwa wa ugaidi aliyekamatwa kwa tuhuma za kusafirisha vifaa vya kijeshi na vilipuzi vinavyoaminika kuwa vya wanamgambo wa alshaabab huko Somalia, ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi milioni moja. Zakariya kamal sufi kutoka mombasa anadaiwa kununua vifaa hivyo vya kijeshi nchini uchina kwa niaba ya magaidi wa kundi la Al Shabab na kuvisafirisha katika kontena tatu huko Mogadishu, Somalia. Aidha kontena mbili hazijulikani zilivyokotoweka