Msiba wa harusi Ruiru

  • | Citizen TV
    6,328 views

    Kijiji kimoja katika eneobunge la Gatundu North kinaomboleza, kufuatia vifo vya watu wanne kati ya sita waliofariki kwenye msiba wa harusi hapo jana. Wanne hao walitoka kijiji alikotoka bwana harusi na walikuwa kwenye msafara ulioungana na familia kwa harusi hiyo. Na kama Brenda Wanga anavyoarifu, waliojeruhiwa kwenye kisa hicho cha Kiahiti wasimulia yaliyowasibu