Msichana aliyebakwa na kuuliwa azikwa

  • | KBC Video
    8 views

    Hali ya simanzi ilitanda kwenye eneo bunge la Laikipia Mashariki,kaunti ya Laikipia huku familia, marafiki na wakazi wakikusanyika kumuaga buriani Tamara Blessing Kabura. Binti huyo mwenye umri wa miaka 7 anadaiwa kubakwa na kuuawa kwa ukatili mnamo Jumatatu wiki iliyopita kabla ya mwili wake kugunduliwa ukiwa umezikwa mvunguni mwa kitanda cha mshukiwa mkuu kwenye eneo la Witemere Nyeri.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive