Msichana anyanyaswa kimapenzi na mhubiri huko Mwingi kwa miezi sita

  • | KBC Video
    Katibu wa ugatuzi, Charles Sunkuli ametoa wito kwa wazazi na walezi kuwalinda wasichana wa shule dhidi ya ukeketaji na ndoa za mapema wakati huu wa janga la korona. Wito huo umetolewa huku familia moja ya Mwingi ikitaka mwanao msichana atendewe haki kwa madai ya kufanywa mtumwa wa ngono na kasisi mmoja kwa muda wa miezi sita. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive