Msichana atishia kujitoa uhai baada ya babake kukataa kumsomesha

  • | K24 Video
    139 views

    Kulikuwa na pata shika mjini Kakamega, baada ya mwanafunzi mmoja mjini humo, kufika katika kituo cha matatu, na kumkabidhi barua babake mzazi ambaye ni manamba, ya kumtaka ampeleke shule. Mwanafunzi huyo amedai kuwa babake amedinda kuwajibika, ndiposa akaamua kuchukua hatua hiyo.likijiri hilo, mwanafunzi mwingine kutoka kaunti ya Kilifi, anahofu kuwa huenda ndoto yake ya elimu isitimie kwani hana karo ya kujiunga na shule ya wasichana ya Limuru.