Msichana wa miaka 14 aokolewa kutoka ndoa ya mapema Kajiado, apata ufadhili wa masomo

  • | Citizen TV
    471 views

    Imekuwa afueni kwa msichana wa miaka 14 aliyeokolewa kutoka ndoa ya utotoni kaunti ya Kajiado. Msichana huyo ambaye madhila yake yaliangaziwa na runinga ya Citizen alichukuliwa na maafisa wa shirika lisilo la kiserikali na sasa atapata ufadhili wa masomo