Msichana wa miaka 15 aanza kampeni ya chanjo inayolenga kutokomeza ugonjwa wa kichaa cha mbwa

  • | KBC Video
    55 views

    Nina Ng’ang’a mwenye umri wa miaka 15, ameanza kampeni ya chanjo inayolenga kutokomeza ugonjwa wa kichaa cha mbwa. Mwanafunzi huyo wa gredi ya 10 analenga kuchangisha shilingi elfu -700, fedha ambazo zitatumika kutoa chanjo elfu-1, matibabu 180 ya uapsuaji, na uchunguzi wa afya ya paka na mbwa. Na kama mwanahabri wetu Nancy Okware anavyoripoti, kijana huyo analenga kutimiza malengo yake mwishoni mwa mwezi huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive