Msichana wa miaka 5 afa maji Buxton Point, Mombasa

  • | Citizen TV
    4,721 views

    Familia moja kaunti Mombasa inalilia haki baada ya mtoto wao msichana wa miaka mitano kufa maji katika hali ya kutatanisha katika kidimbwi cha kuogela mtaani Buxton Point. Familia hii inawalaumu wasimamizi wa eneo hilo kwa utepetevu huku wakidai mtoto huyo alitenganishwa na Dadake muda mchache kabla ya kufa maji.