Msichana wa miaka kumi na moja kutoka kaunti ya Kitui amefariki baada ya kung'atwa na nyoka

  • | KBC Video
    27 views

    Msichana wa miaka kumi na moja kutoka eneo la Kanthungu kaunti ya Kitui amefariki baada ya kung'atwa na nyoka mwenye sumu aina ya black mamba. Nancy Mukamil alifariki wiki moja baada ya kung'atwa wakati alipopelekwa katika hospitali ya Ishiara level 4 iliyoko kaunti ya Embu pale hospitali katika kaunti ya Kitui zilipokosa dawa ya kukabiliana na sumu ya Nyoka.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News