Msikiti mkubwa wenye mnara mrefu zaidi duniani

  • | BBC Swahili
    1,498 views
    Huu ni Djamaa el Djazaïr - msikiti mkubwa zaidi barani Afrika, na wa tatu kwa ukubwa ulimwenguni. Msikiti huo pia una maktaba ndani yake, chuo kikuu na kituo cha mafunzo kwa Maimamu. Lakini si kila mtu nchini Algeria amefurahi, kumekuwa na ukosoaji kuhusu gharama ya $1bilioni iliyotumika kujenga msiki huo. #bbcswahili #algeria #msikiti Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw