Msimamizi wa bajeti Margaret Nyakang'o asema kaunti zimewacha pesa

  • | Citizen TV
    930 views

    Ripoti ya msimamizi wa bajeti Margaret Nyakang'o imeashiria uzembe wa magavana katika kutumia pesa walizotengewa kwa maendeleo. Kulingana na ripoti hiyo, pesa za maendeleo zimesalia tu kwenye benki kuu. Kaunti ya Elgeyo Marakwet ni moja wapo ya kaunti ambazo zimetumia tu asilimia tano tu ya pesa za maendeleo huku kaunti za Narok na Mandera zikiorodheshwa kuwa bora kwa maendeleo.