Msimamizi wa bajeti Margaret Nyakango asema safari za rais Ruto bado ni ghali

  • | Citizen TV
    6,071 views

    Msimamizi Wa Bajeti Margaret Nyakango Amefichua Jinsi Serikali Ya Kitaifa Bado Inatumia Mabilioni Ya Pesa Kwa Safari Za Humu Nchini Na Pia Nje Ya Nchi Hata Baada Ya Serikali Ya Rais William Ruto Kuahidi Kupunguza Gharama Hiyo. Aidha, Afisi Ya Rais Ruto Imeongeza Gharama Ya Usafiri Kwa Asilimia 28 Katika Mwaka Uliopita Wa Kifedha, Kama Anavyotuarifu Stephen Letoo